Karibu kwenye shule yetu ya udereva, ambapo usalama, taaluma, na mafunzo ya ubora huja kwanza. Tumejitolea kuwasaidia wanafunzi kuwa madereva wanaojiamini, wenye ujuzi na uwajibikaji kupitia elimu ya kina ya udereva na uzoefu wa vitendo.
Shule yetu hutoa mafunzo ya kinadharia na ya vitendo yaliyoundwa ili kuwatayarisha wanafunzi kwa hali halisi ya kuendesha gari na majaribio rasmi ya kuendesha. Tukiwa na wakufunzi wenye uzoefu, mbinu za kisasa za ufundishaji, na mazingira yanayosaidia ya kujifunzia, tunahakikisha kila mwanafunzi anapokea mwongozo unaohitajika ili kufaulu
.
- Mwanafunzi Atajifunza yafuatayo:
- Atajifunza Sheria za Usalama BaraBarani
- Mafunzo ya Darasani(Theory)
- Mafunzo ya kuendesha gari BaraBarani(practical)
Pia tunatoa program kwa wanafunzi spesho
wale wanaoitaji kujifunza siku za jumamosi, jumapili na siku za sikukuu
Pia tunatoa mafunzo maalum kwa wale wanaohitaji kujifunza akiwa peke yake kwenye gari(VIP)
Tunatoa Mafunzo Maalum ya kumpelekea Huduma ya Kumfundisha Mwanafunzi Alipo ila kwa Makubaliano Maalum
Tunafundisha Udereva wa kujihami ili Kuepusha Ajali za Barabarani
—
— Student Driver